(All Latest news and downloads)
TANGAZO LA MATOKEO 2023/2024Tangazo tangazo 1_Wanafunzi wote wa September na March intake munaalifiwa kuwa tarehe ya special na supplementary itakuwa tarehe 02/09/2024 2_ hakikisha unafika chuoni Kwa wakati kwaajil ya mitihani hiyo ya marudio na mitihani maaluma 3_ ukikosa mitihan hiyo hakutakuwa na nafasi nyingine ya mitihani hiyo. Hivyo ukimisi au ukikosa mitihan hiyo utarudia muhula ( semester). 4_ hakikisha unawahi mapema Kwa wale wa special kuja kufuatilia kuponi ya mtihan Kwa wakati kabla ya tarehe husika 5_ mwanafunzi mwenye changamoto awasiliane na afisa mitihan kupitia namba ya simu 0750806681 Mwisho nawatakia utekelezaji mwema. |