(All Latest news and downloads)
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPAHabari Karibu katika Chuo cha Maendeleo ya jamii kilichopo mjini Kaliua -Tabora,pamoja na tawi letu la Nyashishi-Mwanza. Ndugu mpedwa waweza omba nafasi ya Masomo moja kwa moja kupitia mfumo wetu wa maombi(Online Application) Ili kuweza kutumia mfumo akikisha una kuwa na taarifa muhimu kama namba yako ya kidato cha nne, picha kivuli(passport size) pamoja na mawasiliano yako(email and mobile phone number). Ama baada ya kujaza fomu utawezeshwa na mfumo kutizama maombi yako kama yamekubaliwa(accepted) Kutoka katika ukurasa wetu wa tovuti ya chuo bonyeza apply now ili kutuma maombi yako Ama baada ya kuomba tafadhari tupigie simu kwa namba kwa ajili ya maelekezo zaidi. Mkuu wa chuo Kaliua Tabora:0755944088 Mkuu wa chuo Kaliua Tawi la Mwanza:067883888 Msajili Kaliua Tabora 0611263561 Msajili Kaliua Tawi la Mwanza 0611263561
|