(All Latest news and downloads)
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMOMkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Kaliua (KICD) Anayo furaha kuwatangazia nafasi za mazomo kwa Muhula wa Mwezi wa Tisa (intake september) kwa kozi zifuatazo NGAZI YA CHETI(Certificate)
KOZI ZA UFUNDI
Kwa Mawaziliano tupigie kwa namba Makamu wa chuo:+255672120032 Msajili 0692407533
|