MCHANGANUO WA MALIPO YA ADA

 • 1.           Ada kwa mwaka ni Tsh 950,000/= na italipwa kwa awamu nne
 • 2.           Malipo ya Hostel kwa mwaka ni Tsh   150,000/=
 • Mhula wa kwanza 750,00/=
 • Mhula wa pili         750,00/=
 • Michango mingine itakayolipwa pindi tu mwanafunzi anaporipoti ni Tsh90,000/=

Katika mchanganuo ufuatao;-

 • Ada ya mtihani             20,000/=
 • Ada ya usajili NACTE 20,000/=
 • Students organization    10,000/=
 • Kitambulisho cha chuo   5,000/=
 • Gharama ya Internet     10,000/= kwa mwaka
 • Aje na Limu mbili (2) moja mhula wa kwanza na nyingine muhula wa pili)
 • Aje na godoro la ukubwa futi 21/2
 • Ukarabati wa Chuo – 10,000/=

     NB: Malipo yote yafanyike kupitia Akaunti Namba 90110000683 NMB Jina la account ni Kaliua Institute of Community Development.

Abdallah Hamisi

Mkuu wa Chuo.